RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na Mwandishi wetu Dodoma VIONGOZI wa madhehebu ya dini mkoani Dodoma wamesema kuwa kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kilichotoke Jumanne tarehe 17/03/2021 ni sawa daraja lililokuwa linatumiwa na watanzania kwa ajili ya kujipatia maendeleo na sasa limekatika katikati ya mto na kuwarudisha nyuma watanzania kwenye umasikini. Askofu Mkuu
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan baada ya Kula kiapo amekwenda nyumbani kwa hayati Rais Magufuli kuomba dua na kumpa pole Mama Janeth Magufuli pamoja na wanafamilia
READ MORENa Barnabas kisengi Dodoma March 19 2021 Kufuatia kutangazwa kifo cha Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kilichotokea march 17 2021 majira ya saa kumi na mbili jioni jijini dar es salamu wananchi na viongozi mbalimbali Jijini Dodoma wameendelea kumlilia Hayati Magufuli. Naibu waziri ofisi ya Rais utawala bora menejimenti
READ MORESamia Suluhu Hassan ataapishwa Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Hafla ya uapisho itafanyika Ikulu, Dar es Salaam, saa 4 asubuhi. Mama Samia atakuwa Rais wa sita wa Tanzania.
READ MORE