MAMA SAMIA KUAPISHWA KUWA RAIS WA TANZANIA MACHI 19 SAA NNE IKULU DAR

MAMA SAMIA KUAPISHWA KUWA RAIS WA TANZANIA MACHI 19 SAA NNE IKULU DAR

Samia Suluhu Hassan ataapishwa Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Hafla ya uapisho itafanyika Ikulu, Dar es Salaam, saa 4 asubuhi. Mama Samia atakuwa Rais wa sita wa Tanzania.

Samia Suluhu Hassan ataapishwa Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Hafla ya uapisho itafanyika Ikulu, Dar es Salaam, saa 4 asubuhi.

Mama Samia atakuwa Rais wa sita wa Tanzania.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »