RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Serikali inawashikilia Watanzania watatu kwa tuhuma za kushirikiana na raia wa Jamhuri wa Czech kusafirisha nje ya nchi vinyonga 74 na nyoka sita kinyume na sheria.Akizungumza na vyombo vya habari leo Alhamisi Machi 11, 2021 mkoani Iringa, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema vinyonga na nyoka hao walikamatwa na maofisa wa forodha
READ MORENa Barnabas Kisengi-Njombe March 12, 2021 Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema ili kukabiliana na kushuka kwa kiwango cha uzalishaji wa zao la chai nchini Wizara yake itawekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ili zao la chai lilimwe kwenye maeneo mengi nchini. Amesema Wizara ya Kilimo itahakikisha inatumia wataalaam wake
READ MORELNa Scolastica Msewa, Kibaha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikiria watuhumiwa 23 wa matukio mbali mbali ikiwemo wizi wa vitu mbali mbali vilivyoibiwa msibani baada ya kupuliziwa dawa wafiwa huko Mlandizi mjini Kibaha. Akizungumzia na waandishi wa habari mjini Kibaha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ACP Wankyo Nyigesa amesema tukio hilo la wizi
READ MORESTATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar 11.03.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja kwa Wizara ya Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
READ MORE