RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli azindua Daraja la Juu la Ubungo ambalo limepewa jina la aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi na sasa litaitwa Daraja la Juu la Kijazi (Kijazi Interchange).
READ MORENaibu Waziri wa Tamisemi David Silinde aagiza halmashauri ya Ndanda iliyopo mkoani Mtwara kujenga majengo mengine katika shule ya Msingi Mpowora baada kukuta madarasa mabovu kabisa ambayo yanaweza kuwaangukia wanafunzi mda wowote. Kauli hiyo ameitoa alipotembelea shule hiyo. Kusoma katika mazingira mazuri na yenye majengo mazuri ni moja ya kishawishi kikubwa cha ufaulu wa wanafunzi
READ MORENa Barnabas kisengi Dar es salaamFebruary 23 2021 Tiba asili ilikuwepo tangu muda mrefu toka miaka ya 1990 na ilishaandikwa kwenye maandiko ya wizara pamoja na Sera ya Afya ya mwaka 2007 hivyo bidhaa zote zilizotengenezwa na wataalamu wa tiba asili ni kuwa na nia ya kuitafuta tiba kama nchi kwa njia yeyote Hayo yamesemwa
READ MOREWakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kupitia Kikosi Cha Umeme ambacho kinasimamia kazi za kandarasi za mifumo ya Umeme, Elektroniki, TEHAMA, Viyoyozi pamoja na Usimikaji na matengenezo ya taa za barabarani umeanza kazi ya kusimika taa za kuongozea vyombo vya moto (traffic lights) katika barabara za Shekilango, Sam-Nujoma na Ubungo Interchange jijini Dar es Salaam.
READ MORENa Barnabas kisengi Dodoma February 23 2021 Tanzania ni miongini mwa nchi mwanachama za umoja wa mataifa ambazo kila ifikapo March 8 kila mwaka huadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo maadhimisho haya yalianza mwaka 1911 kufuatia wanawake wafanyakazi katika sekta ya viwanda nchini marekani waliokuwa wakipinga mazingira duni ya kazi na vitendo vya unyanyasaji katika ajira
READ MORE