RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Msomaji,wa jfive karibu uyatazame magazeti ya leo tarehe 09/02/2021.
READ MORESERIKALI ya Wilaya ya Bukoba imefanikiwa kuwaandikisha shule watoto watatu waliozuiliwa kwenda shule na baba yao, Mchungaji Marchades Mugishagwe Buberwa. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Deodatus Kinawiro akishirikiana na Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Bukoba, Dk Elipidius Baganda wamewandikisha watoto hao katika shule ya msingi Buyekera ambapo mtoto wa miaka 13 atasoma hatua ya lika
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba Mahakama ya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi inahitajika hapa Zanzibar. Hayo aliyasema leo katika Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Sheria Zanzibar , hafla iliyofanyika katika ukumbi ya Sheikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Jijini Zanzibar, ambapo viongozi mbali mbali walihudhuria kutoka
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria aliowateua hivi karibuni. Walioapishwa kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar ni Ibrahim Mzee Ibrahim na Haji Omar Haji. Kwa upande wa Mwenyekiti wa Tume ya
READ MOREUsafi wa mitaro ni jukumu la kila mwanchi katika eneo lake tusisubiri Serikali ije ikufanyie usafi kwakuwa Serikali imekwisha timiza wajibu wake wa kujenga mitaro ila kuitunza ni jukumu letu wenywewe Kama unavyoona baadhi ya mitaro haifanyiwi usafi kama ilivyonaswa na camera ya Jfive Online Blog katika mtaa wa Image jijini Dodoma hivi karibuni. Na
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge leo February 08 ametembelewa ofisini kwake na Kamishina wa Uhamihaji Tanzania CGD Dkt. Anna Makakala ambapo wamefanya mazungumzo mbalimbali hususani Kuimarisha utendaji Katika masuala ya Uhamihaji.
READ MORE