RC KUNENGE, AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMA NA KAMISHNA WA UHAMIHAJI DKT.ANNA MAKAKALA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge leo February 08 ametembelewa ofisini kwake na Kamishina wa Uhamihaji Tanzania CGD Dkt. Anna Makakala ambapo wamefanya mazungumzo mbalimbali hususani Kuimarisha utendaji Katika masuala ya Uhamihaji.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge wakiwa katika picha ya pamoja na Kamishina wa Uhamihaji Tanzania CGD Dkt. Anna Makakala leo February 08,2021.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »