MAONI YA MWANDISHI: USAFI WA MAZINGIRA NI WAJIBU WA KILA MWANANCHI

MAONI YA MWANDISHI: USAFI WA MAZINGIRA NI WAJIBU WA KILA MWANANCHI

Usafi wa mitaro ni jukumu la kila mwanchi katika eneo lake tusisubiri Serikali ije ikufanyie usafi kwakuwa Serikali imekwisha timiza wajibu wake wa kujenga mitaro ila kuitunza ni jukumu letu wenywewe Kama unavyoona baadhi ya mitaro haifanyiwi usafi kama ilivyonaswa na camera ya Jfive Online Blog katika mtaa wa Image jijini Dodoma hivi karibuni. Na


Usafi wa mitaro ni jukumu la kila mwanchi katika eneo lake tusisubiri Serikali ije ikufanyie usafi kwakuwa Serikali imekwisha timiza wajibu wake wa kujenga mitaro ila kuitunza ni jukumu letu wenywewe Kama unavyoona baadhi ya mitaro haifanyiwi usafi kama ilivyonaswa na camera ya Jfive Online Blog katika mtaa wa Image jijini Dodoma hivi karibuni.


Na Mwandishi wetu-Dodoma 

Februari  8 2021

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »