RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Idara ya uhamiaji mkoa wa Kigoma imewakamata raia wa kigeni 52 kutoka nchi ya Burundi na jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo walioingia nchini bila vibali pamoja na kuwakamata watanzania 3 waliokuwa wakijihusisha na kuwatumikisha baadhi ya raia hao. Miongoni mwa waliokamatwa wapo wakimbizi 12 waliotoroka katika kambi ya Nyarugusu iliyoko wilaya ya Kasulu. Akizungumzia hatua
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae.
READ MOREWaziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais muungano na mazingira Mh. Ummy Mwalimu anakutana na wachimbaji wa mchanga na wamiliki wa maroli kesho tarehe 08/02/2021 kujadili mwongozo wa uchimbaji wa mchanga kwenye mito na mabonde.
READ MOREWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk Doroth Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dk Felista Kisandu kwa kukiuka mwongozo wa utoaji wa taarifa za milipuko kama ilivyoelezwa kwenye Sheria ya Afya ya Umma (Public Health Act) ya mwaka 2009. Akitoa tamko leo Jumapili Februari 7, 2020
READ MOREWaziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima na mme wake Wakili Advocate Gwajima mapema leo wakiwa kwenye mazoezi.Tufanye mazoezi mara kwa mara ili kulinda afya zetu,tuzingatie mtindo bora wa maisha,tupige nyungu bila kusahau kufanya Ibada.
READ MOREJESHI LA POLISI MKOANI KIGOMA KWA KUSHIRIKIANA NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAPORI(TAWA)MKOANI WAMEFANIKIWA KUKAMATA BUNDUKI 268 MIONGONI MWAKE ZIKIWEMO SILAHA ZA KIVITA ZINAZODAIWA KUTUMIKA KATIA MATUKIO MBALIMBALI YA KIHALIFU MKOANI KIGOMA KWA KIPINDI CHA MIAKA KUMI IKIWEMO UTEKAJI WA MAGARI. JINA LA KAMANDA ANAITWA ACP JAMES MANYAMA,KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA KIGOMA.
READ MORE