RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na.Barnabas Kisengi Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Joseph Nyamhanga SERIKALI imeanza uchunguzi juu ya udanganyifu uliobainika kufanyika katika mtihani wa kumaliza Elimu ya msingi Mwaka 2020 ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya wiki moja. Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Jijini Dodoma Nyamhanga amesema baada ya uchunguzi
READ MORENa Barnabas Kisengi DodomaNovember 23 2020 Dodoma Serikali ya Tanzania imeazimia kutokomeza kabisa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kuongeza uwezo wa ugunduzi wa wagonjwa wapya wa kifua kikuu na kuwaweka kwenye matibabu.Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi alipokuwa akifungua mkutano wa mwaka wa Mpango wa Taifa wa Kifua Kikuu an Ukoma
READ MOREJumla ya watahiniwa 1955 wakiwemo wavulana 990 na wasichana 965 wa kidatu cha nne wilayani mpwapwa wameanza kufanya mitihani ya kuhitimu kidatu cha nne leo November 22, 2020 ambapo wamejiandaa vizuri kwa kufaulu kutokana na elimu waliyoipata kwa walimu wao kwa kipindi cha miaka Minne waliyokuwa shuleni. Afisa Elimu Secondary wilaya ya mpwapwa mwalimu Nelson Milanzi
READ MORENa Barnabas Kisengi. Mwenyekiti wa Mtaa wa chinyoyo Kata ya kilimani jijini Dodoma FAUSTINA BENDERA amewataka wananchi wa mtaa huo kuhakikisha wanavunja makundi ya kisiasa ambayo walikuwa nayo katika kampeni za uchaguzi wa RAIS,MBUNGE na DIWANI na kuwa kitu kimoja sasa kusukuma maendeleo ya mtaa wa chinyoyo ili waendelee na shunguli za kuleta maendeleo yao
READ MORE