RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na Barnabas Kisengi. Mwenyekiti wa Mtaa wa chinyoyo Kata ya kilimani jijini Dodoma FAUSTINA BENDERA amewataka wananchi wa mtaa huo kuhakikisha wanavunja makundi ya kisiasa ambayo walikuwa nayo katika kampeni za uchaguzi wa RAIS,MBUNGE na DIWANI na kuwa kitu kimoja sasa kusukuma maendeleo ya mtaa wa chinyoyo ili waendelee na shunguli za kuleta maendeleo yao
READ MOREDodoma. Serikali Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuondoa matukio ya ukatili wilayani humo. Akizungumza katika kongamano la wasichana lililoandaliwa na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto (Children’s Dignity Forum CDF) wilayani humo ambalo limewakutanisha wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari ,Mkuu wa Wilaya hiyo Jabir Shekimweri amesema
READ MOREWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 21 Novemba, 2020 amefika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma kushuhudia fainali za mashindano ya mpira wa kikapu yanayoandaliwa na Benki ya CRDB na kupewa jina la CRDB TAIFA CUP ambapo fainali ni kati ya timu ya Temeke na timu ya Mbeya.
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Novemba 21,2020 ametembelea eneo utakapojengwa mradi wa bwawa la maji Farkwa katika kijiji cha Mombose, wilayani Chemba, mkoani Dodoma, bwawa hilo linatarajiwa kuwa na uwezo wa kutoa maji kwa mita za ujazo 128,000 kwa siku, gharama za ujenzi huo ni zaidi ya sh. bilioni 900. Aidha, WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa
READ MORE21Novemba, 2020 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AKAGUA VYANZO VYA MAJI DODOMA, AAGIZA MRADI WA FARKWA UANZE HARAKA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Maji, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Dodoma (DUWASA) na Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma wahakikishe mradi wa bwawa la maji Farkwa uliopo kijiji cha
READ MORE21 Novemba, 2020 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AAGIZA WAKUU WA MIKOA WAFANYE UKAGUZI KWENYE VIWANDA, MAGHALA YA SARUJI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini wafanye ukaguzi kwenye viwanda vya kuzalisha saruji, mawakala, wauzaji wa kati na wadogo wa bidhaa hiyo na wachukue hatua stahiki. Ametoa agizo hilo leo jioni
READ MORE