waziri mkuu Kassim Majaliwa kushuhudia fainali za mashindano ya mpira wa kikapu yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 21 Novemba, 2020 amefika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma kushuhudia fainali za mashindano ya mpira wa kikapu yanayoandaliwa na Benki ya CRDB na kupewa jina la CRDB TAIFA CUP ambapo fainali ni kati ya timu ya Temeke na timu ya Mbeya.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIINGIA UWANJANI.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 21 Novemba, 2020 amefika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma kushuhudia fainali za mashindano ya mpira wa kikapu yanayoandaliwa na Benki ya CRDB na kupewa jina la CRDB TAIFA CUP ambapo fainali ni kati ya timu ya Temeke na timu ya Mbeya.

Fainali hizo pia zimehudhuriwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA NAIBU WAZIRI WIZARA YA HABARI SANAA NA MICHEZO NA MSEMAJI WA SERIKALI DKT.HASSAN ABBASI

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa(kushoto) akiwa sambamba na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi(kulia) wakifurahia mechi ya mpira wa kikapu kati ya Temeke na Mbeya kwenye fainali za #CRDBTAIFACUP zilizofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »