WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Maji, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Dodoma (DUWASA) na Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma wahakikishe mradi wa bwawa farkwa unaanza mapema. 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Novemba 21,2020 ametembelea eneo utakapojengwa mradi wa bwawa la maji Farkwa katika kijiji cha Mombose, wilayani Chemba, mkoani Dodoma, bwawa hilo linatarajiwa kuwa na uwezo wa kutoa maji kwa mita za ujazo 128,000 kwa siku, gharama za ujenzi huo ni zaidi ya sh. bilioni 900. Aidha, WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa

waziri mkuu kassim majaliwa .

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Novemba 21,2020 ametembelea eneo utakapojengwa mradi wa bwawa la maji Farkwa katika kijiji cha Mombose, wilayani Chemba, mkoani Dodoma, bwawa hilo linatarajiwa kuwa na uwezo wa kutoa maji kwa mita za ujazo 128,000 kwa siku, gharama za ujenzi huo ni zaidi ya sh. bilioni 900.

Aidha, WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Maji, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Dodoma (DUWASA) na Sekretarieti ya Mkoa wa Dodoma wahakikishe mradi huo unaanza mapema.

Wakati huohuo, Waziri Mkuu alitembelea chanzo cha maji cha Mzakwe kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma na kuagiza mkandarasi ambaye anapaswa kuchimba kisima cha kuzalisha maji lita 430,000 kwa saa, aanze haraka kazi hiyo ili kuongeza kiwango cha maji yanayoenda mjini.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »