YANGA WAANZA VYEMA MZUNGUKO WA PILI

YANGA WAANZA VYEMA MZUNGUKO WA PILI

FULL TIMEYanga 3 – 0 Kagera Sugar Mayele⚽⚽ 30′ 51′Ntibazonkiza ⚽️ 64’ Vinara wa Ligi kuu Tanzania Bara (#NBCPREMIERLEAGUE) Yanga imeendeleza ushindi baada ya kuichapa Kagera Sugar kwenye mchezo ulipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa ukiwa ni Mchezo wa 16 kwa msimu wa 2021/2022 na wa Kwanza katika mzunguko wa pili wa Ligi ya #NBC Yanga

FULL TIME
Yanga 3 – 0 Kagera Sugar

Mayele⚽⚽ 30′ 51′
Ntibazonkiza ⚽️ 64’

Vinara wa Ligi kuu Tanzania Bara (#NBCPREMIERLEAGUE) Yanga imeendeleza ushindi baada ya kuichapa Kagera Sugar kwenye mchezo ulipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa ukiwa ni Mchezo wa 16 kwa msimu wa 2021/2022 na wa Kwanza katika mzunguko wa pili wa Ligi ya #NBC

Yanga sasa imefikisha alama 42 huku mshambuliaji Fiston Mayele akifikisha magoli 9. Kwa hesabu hizo Yanga sasa wamemuacha mpinzani wao Simba kwa Jumla ya Alama 11 huku Simba wakiwa na mechi moja mkononi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »