• ” TUNACHUNGUZA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA”MAJALIWA

    ” TUNACHUNGUZA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA”MAJALIWA0

    ‘WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu maalumu ili kuchunguza kupanda kwa bei ya mafuta kwa kuwa kitendo hicho kinawaumiza wananchi hususan wale wa hali ya chini. Amesema Serikali imechukua uamuzi huo baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati nchini (EWURA) kutangaza bei mpya elekezi ya mafuta kwa mwezi Septemba ambapo ilionesha kupanda kwa bei

    READ MORE
  • TIGO NA BOA WARAHISISHA UWEKAJI WA AKIBA ‘Tigo Pesa kibubu’

    TIGO NA BOA WARAHISISHA UWEKAJI WA AKIBA ‘Tigo Pesa kibubu’0

    Mtandao unaoongoza katika kuhakisha mtanzania anaishi maisha ya Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania na Benki ya Afrika(BOA)(Tanzania) wamezindua huduma mpya ya kuhifadhi pesa kwa kutumia simu ya mkononi ijulikanayo kama “TIGO PESA KIBUBU” itakayowawezesha wateja wa Tigo Pesa kutunza pesa zao na kupata gawio kupitia simu zao za mkononi. Tigo Pesa Kibubu ni huduma ya

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU ATAKA MAZINGIRA MAZURI KWA WACHIMBAJI WADOGO.

    WAZIRI MKUU ATAKA MAZINGIRA MAZURI KWA WACHIMBAJI WADOGO.0

    20, Agosti, 2021. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa mgodi wa dhahabu wa Namungo kuhakikisha wanaweka mazingira mazuri yatakayowawezesha wachimbaji wadogo kunufaika. Pia, Waziri Mkuu ameagiza mmiliki wa mgodi huo, afike Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma Septemba 10, 2021 akaeleze mipango yake ya kuendeleza mgodi huo pamoja na wachimbaji wadogo. Ametoa maagizo hayo leo

    READ MORE
Translate »