• Rais Dkt.Mwinyi amepokea Pole ya Mbuzi na Kondoo.

    Rais Dkt.Mwinyi amepokea Pole ya Mbuzi na Kondoo.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wamasai wanaoishi Zanzibar (ERETO) Ndg.THOMAS MAKAU LEPACHU na ujumbe wake kufuatia kifo cha Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi. Mwenyekiti Thomas amesema wameleta rambi rambi ya mbuzi na kondoo kufuatia kuguswa sana na

    READ MORE
  •  Rais Dkt. Samia amechangiwa fedha za kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025.

     Rais Dkt. Samia amechangiwa fedha za kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025.0

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Samia ya kutambua mchango wa Mheshimiwa Rais katika kuwezesha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia, kwenye Mkutano wa Wanawake wa kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Mazingira na Afya ya Mama na Mtoto, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam MachiREAD MORE
  • TUTAENDELEA KUIMARISHA USALAMA WA NCHI DHIDI YA MAJANGA NA MAAFA.

    TUTAENDELEA KUIMARISHA USALAMA WA NCHI DHIDI YA MAJANGA NA MAAFA.0

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuhakikisha usalama wa nchi na mipaka yake dhidi ya majanga mbalimbali unaendelea kuimarishwa ili kujiandaa na kuwa na utayari wa kukabiliana na majanga, maafa na dharura yoyote. Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Machi 14, 2024) wakati wa ufungaji wa mafuzo ya zoezi  la utayari dhidi ya dharura za kikemikali

    READ MORE
Translate »