- Habari, Kitaifa
- October 27, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini waendelee kuiunga mkono Serikali katika mapambano ya UVIKO 19 sambamba na kuelimisha umma umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Amesema hadi kufikia tarehe 22 Oktoba 2021, jumla ya wananchi 981,297 walikuwa wamechanjwa na jumla ya wagonjwa 26,154 na vifo 725 vilitolewa taarifa tangu ugonjwa huo uliporipotiwa
READ MORE- Habari, Kitaifa
- October 27, 2021
READ MORE- Habari, Kitaifa
- October 27, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametaja vipaumbele sita vya kiutekelezaji vilivyofanywa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miezi sita tangu aingie madarakani na tayari ameonesha dira na nia thabiti katika kuwaletea maendeleo Watanzania. Waziri Mkuu amesema katika kipindi kifupi Rais Samia ametoa fedha nyingi ambazo zimekwenda moja kwa moja katika kutekeleza miradi hiyo
READ MORE