Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi kwa niaba ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 16 Oktoba, 2021 amewatunuku vyeti na kuwapandisha vyeo Askari wahitimu mia saba kumi na sita (716) wa
READ MORENa Mwandishi wetu, Kasulu Watanzania wamemeadharishwa dhidi ya madhara ya yanayoweza kutokana na tabia ya kufumbia macho vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto na wasitegemee msaada zaidi kutoka nyumba salama kwa ajili ya kuwarejesha wahanga wa ukatili katika hali ya awali. Taadhari hiyo imetolewa na Katibu Mkuu, Wizara ya Afya Idara Kuu
READ MOREWaziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro ametoa wito kwa Watoa huduma za Watalii kuwa mstari wa mbele kuchanja ili kujikinga na kuwakinga wengine dhidi ya UVIKO 19Pia,Dkt.Ndumbaro amesema kitendo cha Watoa huduma wengi katika sekta ya utalii kuchanja ni jambo la muhimu kwani watalii wanaokuja nchini wanapata ujasiri kuwa nchi wanayotembelea ni salama na
READ MORE