Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonesha kuwa wanawake ni muhimu katika maendeleo ya taifa lolote kulingana na asili ya majukumu yao wanayoyafanya hasa katika malezi kwa mtoto.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya, Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima mara baada ya kushiriki kwenye Kongamano la tatu la Wanawake lililofunguliwa na Rais
READ MORE- Dini, Habari, Kitaifa
- October 15, 2021
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema tukio la kuwakumbuka viongozi wa Tanzania waliotangulia mbele ya haki ni muhimu sana kwa sababu muda wote walijitoa muhanga kwa nchi yao na kujenga taifa lililo huru lenye kuzingatia haki na usawa bila ya kujali rangi,kabila wala dini. Rais Dk.Mwinyi aliyaeleza
READ MORE- Habari, Kitaifa
- October 15, 2021
RaisDk.Hussein Ali Mwinyi akiambatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na ujumbe waliofuatana nao,wameitembelea Familia ya aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano Marehemu Dk.John Pombe Joseph Magufuli Nyumbani kwa Marehemu,Chato na kusalimiana na Mjane wa Marehemu pamoja na kuzuru kaburi la kiongozi huyo wa Tanzania wa awamu ya Tano.
READ MORE