• Rais Samia Suluhu Hassan Ameanza Ziara ya Kikazi ya Siku Mbili Mkoani Morogoro .

    Rais Samia Suluhu Hassan Ameanza Ziara ya Kikazi ya Siku Mbili Mkoani Morogoro .0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 07 Julai, 2021 ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mororogo. Akiwa katika eneo la Kibaigwa Mkoani Dodoma njiani kuelekea mkoani Morogoro, Mhe. Rais Samia amewataka wananchi wa eneo hilo na Watanzania kwa ujumla kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona

    READ MORE
  • MAJALIWA: BIASHARA YA TANZANITE IFANYIKE MIRERANI

    MAJALIWA: BIASHARA YA TANZANITE IFANYIKE MIRERANI0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila kuhakikisha kuwa hadi kufikia tarehe 10 mwezi huu awe amefanya marekebisho ya kanuni za sheria ili wanunuzi wote wa madini ya Tanzanite wafanye biashara hiyo eneo la Mirerani. Amesema kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kuwa madini hayo yanasimamiwa kikamilifu ikiwa ni

    READ MORE
  • KAMPENI YA “ZERO MIGOGORO YA ARDHI” YALETA MAFANIKIO LUKUKI DODOMA

    KAMPENI YA “ZERO MIGOGORO YA ARDHI” YALETA MAFANIKIO LUKUKI DODOMA0

    Na Barnabas Kisengi Dodoma  Kampeni ya zero migogoro ya ardhi Mkoani Dodoma imefanikiwa kusikiliza kesi zaidi ya elfu moja kwa siku mbili huku baadhi ya kesi zikitatuliwa papo kwa papo na nyingine zilizohitaji kufika maeneo husika zikiendelea kufanyiwa kazi.Akizungumza na Jfive.com Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mh. Jabiri Shekimweri amesema kampeni hiyo itasaidia kumaliza baadhi

    READ MORE
Translate »