Na Barnabas Kisengi-Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo ameutaka Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) kutumia vikao vyao kujadili namna ya kutatua changamoto zinazowahusu wanawake badala ya kutumia nafasi hiyo kuseng’enyana, kupeleka ajenda za siri jambo ambalo halina maslahi kwa Taifa. Kauli hiyo ameitoa leo jijini Dodoma wakati akizungumza na Baraza Kuu
READ MOREPicha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka jamii ya kitanzania kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia katika maeneo yao. Hayo yamebainika leo jijini Dodoma katika kikao kilichokutanisha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma
READ MOREKATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Kenani Kihongosi amewataka Vijana kutumia mitandao ya kijami kwa kupata kipato na kupashana habari zenye tija na si kudhalilisha utu wa viongozi Chama na Taifa.Ameyasema hayo leo Jijini hapa wakati akizungumza na Vijana wa umoja huo kwenye hafla fupi ya kukaribishwa kwake Makao Makuu
READ MORE