, #VIDEO: KIGWANGALLA AFUFUA UPYA VITA DHIDI YA MO DEWJI, BARBARA👇👇
READ MORE- READ MORE
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, alilolitoa jijini Dodoma Septemba 2021 kuhusu kuandaa mkakati kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini wa kupunguza utegemezi katika utekelezaji wa majukumu yao. Hayo yamesemwa Mei 09, 2022 na Waziri wa Maendeleo
READ MORE