Na Mwandishi Wetu, Hispania Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa vilabu vya Atletico Madrid na Getafe vinavyoshiriki ligi kuu nchini Hispania (Laliga) kwa lengo la kuitangaza Tanzania hususani sekta ya utalii Aidha, Dkt.Ndumbaro amefanya mazungumzo na Kilabu ya Real Valladolid inayomilikiwa na mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Brazil,
READ MORENa Mwandishi Wetu, Uholanzi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa Klabu ya Soka ya Ajax ya Uholanzi ili itangaze vivutio vya Utalii vya Tanzania kupitia matangazo ya jezi na mbao za matangazo (billboards) uwanjani.Dkt. Ndumbaro amebainisha hayo leo alipokutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa klabu hiyo wakiongozwa
READ MORE