WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Seif Idd Bakari aweke msisitizo katika kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi, kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani. “Kupitia mahusiano haya, zipo fursa nyingi ambazo tunahitaji kuzipata hasa za kiuchumi, Tanzania
READ MORE- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais wa Malawi, Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe - Malawi Julai 5, 2023.READ MORE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa afanya ziara katika maonesho ya 47 ya biashara Kimataifa ya SabaSaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Pichani akiwa katika banda la Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Julai 5, 2023.
READ MORE