Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa afanya ziara katika maonesho ya 47 ya biashara Kimataifa ya SabaSaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Pichani akiwa katika banda la Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Julai 5, 2023.