Rais Samia amepokelewa na Rais Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kamuzu.

Rais Samia amepokelewa na Rais Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa  Kamuzu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais wa Malawi, Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe - Malawi Julai 5, 2023.

Inaweza kuwa picha ya Watu 7, jukwaa na maandishi yanayosema 'Tanzania'
Inaweza kuwa picha ya Watu 9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais wa Malawi, Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe – Malawi Julai 5, 2023.
Inaweza kuwa picha ya Watu 7 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 5 na jukwaa
Inaweza kuwa picha ya Watu 5 na jukwaa
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »