Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mhe.Regine Hess Balozi anayeiwakilisha Ujerumani nchini Tanzania ambaye anamaliza muda wake wa utumishi nchini. Katika mazungumzo yao yamegusia ushirikiano uliopo katika sekta afya, maji, michezo, ulinzi, uwekezaji na utalii kati ya Ujerumani na Zanzibar. Aidha, Balozi Hess ampongeza Rais Dk.Mwinyi kwa
Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka Marekani na kuja hapa nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yamefanywa katika kiwanda Boeing kilichopo Jiji Seattle nchini Marekani kwa Wawakilishi wa Serikali ya Tanzania