RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza haja ya kurekebishwa Sheria kandamizi ambazo zimekuwa zikiwakosesha haki zao za msingi wanawake wajane hapa Zanzibar. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo leo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya Wanawake Wajane Zanzibar (ZAWIO), walipofika Ikulu Jijini Zanzibar. Rais
READ MORESerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imedhamiria kuzitatua changamoto zote zinazowakabili wananchi katika kila nyanja, ili lile lengo lililokusudiwa na Serikali ya Awamu ya nane liweze kufikiwa. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, ameyasema hayo alipokutana na uongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Ofisini kwake Vuga, kwa ajili ya kujadiliana
READ MORENA NYEMO MALECELA – KAGERA Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Kabugaro iliyoko wilaya ya Bukoba, Gisera Osward amefariki dunia baada ya kupigwa radi wakati mwalimu waliyekuwa wameongozana wakitoka darasani, Charles Alphonce akijeruhiwa miguu na kulazwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kagera ya Bukoba. Mwalimu Charles amesema mkasa huo
READ MORENA NYEMO MALECELA – KAGERA UKOSEFU wa ajira ya kuwaingizia kipato umedaiwa kuchangia vijana wengi kujiingiza kwenye vitendo vya utumiaji wa dawa za kulevya na kusababisha kuwaongezea utegemezi kwa jamii. Kufuatia hali hiyo vijana wameshauriwa kutochagua kazi ya kufanya ili kuepuka vishawishi vitakavyowapelekea kukaa vijiweni ambako ndiko wamekuwa wakijifunzia vitendo vya matumizi ya dawa za
READ MOREJumla ya vifaranga 660 vya Samaki vimetolewa kwa mkazi wa Mtaa wa Bigwa Stendi Manispaa ya Morogoro Steven Makala kupitia mradi wa lishe endelevu unatekelezwa na Shirika la Save the Children ikiwa nikatika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa lishe pamoja na kusaidia jamii kujiongezea kipato kupitia mauzo ya samaki.
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge leo ameshiriki Mashindano ya Sita ya Kuhifadhi Quran takatifu ambapo ametoa wito kwa Mashirika yaliyopewa usajili kwa lengo la kusaidia jamii hususani yatima na wasiojiweza kuhakikisha wanatenda haki kwa walengwa. RC Kunenge amesema haipendezi kuona Shirika linapokea msaada wa vitu kwaajili ya kuasaidia Yatima, Makundi
READ MORE