• SERIKALI KUJENGA VYUO VYA VETA KWENYE KILA HALMASHAURI

    SERIKALI KUJENGA VYUO VYA VETA KWENYE KILA HALMASHAURI0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imedhamiria kujenga vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) katika kila halmashauri nchini. Amesema kuwa lengo la ujenzi wa vyuo hivyo ni kuhakikisha vinatoa elimu ya ujuzi maalum kwa vijana wa Kitanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo utaalam wa TEHAMA,

    READ MORE
  • WAZIRI UMMY AWAONYA WALIMU WENYE MAHUSIANO NA WANAFUNZI

    WAZIRI UMMY AWAONYA WALIMU WENYE MAHUSIANO NA WANAFUNZI0

    NA PENDO MANGALA,DODOMA. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Ummy Mwalimu ametoa onyo kwa badhi ya walimu wa kike na kiume ambao wanaojihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi kwani wakibainika watachukuliwa hatua kali za kisheria. Waziri Ummy ametoa kauli hiyo leo Jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa

    READ MORE
  • JUMLA YA WANAFUNZI 6552 KUFANYA MTIHANI WA KUHITIMU DARASA LA SABA KESHO WILAYANI MPWAPWA

    JUMLA YA WANAFUNZI 6552 KUFANYA MTIHANI WA KUHITIMU DARASA LA SABA KESHO WILAYANI MPWAPWA0

    Na Barnabas Kisengi, Mpwapwa  Jumla ya wanafunzi 6552 wa shule za msingi wilayani Mpwapwa wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la Saba inayotarajiwa kufanyika kesho hapa nchini  Akizungumza na jfivetv.com Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mwanahamisi Ally amesema maandalizi yote yamekamilika vizuri na jumla ya shule 129 zilizopo wilayani mpwapwa zinatarajiwa kufanya

    READ MORE
Translate »