WIZARA YA ELIMU YATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI NA WATUMISHI KUHUSU MASUALA YA PROTOKALI
- ELIMU
- November 1, 2022
Na Barnabas Kisengi, Mpwapwa Jumla ya wanafunzi 6552 wa shule za msingi wilayani Mpwapwa wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la Saba inayotarajiwa kufanyika kesho hapa nchini Akizungumza na jfivetv.com Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mwanahamisi Ally amesema maandalizi yote yamekamilika vizuri na jumla ya shule 129 zilizopo wilayani mpwapwa zinatarajiwa kufanya
READ MORENa Barnabas Kisengi-Mpwapwa Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa imetenga kiasi cha fedha shilingi milioni 100 kutoka kwenye makusanyo ya mapato ya ndani na kuzielekeza fedha hizo kwenda kutatua changamoto katika sekta ya elimu wilayani hapo. Kauli imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halimashauri ya Mpwapwa Bi Mwanahamisi Ally wakati akizungumzia vipaombele vya kazi za miradi ya maendeleo
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikari inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikiisha sekta ya elimu inapata muelekeo mpana na kutengeneza fursa kwa watoto wa kitanzania kutimiza ndoto zao za kusoma katika ngazi zote mpaka vyuo vikuu. Amesema kuwa katika kufanikisha hilo Serikali imeendelea kuboresha miundombinu kwa shule za msingi, Sekondari pamoja na kuongeza
READ MORENa Mwandishi Wetu Mwanza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameawata Maafisa Ustawi wa Jamii na Maafisa Maendeleo ya Jamii kote nchini kushirikiana kwa karibu na wadau kuibua changamoto za Jamii na kuzitafutia ufumbuzi. Ameyasema hayo mkoani Mwanza wakati alipomtembelea Mtoto Shamsa Ramadhan Yusuph ambaye alipatwa na
READ MORE