WIZARA YA ELIMU YATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI NA WATUMISHI KUHUSU MASUALA YA PROTOKALI
- ELIMU
- November 1, 2022
Na Mwandishi Wetu Namtumbo Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameungana na wananchi wa Kata ya Msisima kushiriki ujenzi wa Shule ya Sekondari katika Kata hiyo. Akizungumza wakati wa zoezi la kuamsha Ari ya wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo katika Wilaya ya Namtumbo ameitaka jamii
READ MORENa Barnabas Kisengi, Kwimba Mwanza. Jitihada za Serikali kupitia wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi za ukarabati wa Miundombinu vyuo vya maendeleo ya wananchi nchini [FDC]umechochea ongezeko la udahili wa wanafunzi katika chuo cha Maendeleo ya Wananchi Malya FDC kutoka wanafunzi 60 hadi zaidi ya wanafunzi 500 kwa mwaka. Hayo yamebainishwa leo Julai 29,2021 jijini Mwanza na Mratibu
READ MORENaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Juma Kipanga (MB) leo tarehe 22 Julai, 2021 ametembelea Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza na kueleza kufurahishwa na maendeleo yaliyofikiwa, ikiwemo ujuzi wa wanafunzi kutengeneza bidhaa mbalimbali za ngozi. Miongoni mwa bidhaa alizoshuhudia katika Kampasi hiyo ni pamoja na viatu
READ MOREAdeladius Makwega -Kwimba Mwanza (WHUSM) Serikali imesema kuwa Watanzania wanahitaji burudani ya muziki kwani mara baada ya kujishughulisha na shughuli za maendeleo mchana kutwa basi jioni ni muda wa kupumzisha miili na akili zao. Hayo yamesemwa Julai 17, 2021 katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambapo Mheshimiwa Pauline Gekul Naibu
READ MORENa Barnabas Kisengi-Dodoma Shule ya Msingi Michese iliyopo Kata ya Mkonze Jijini Dodoma inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya Madarasa hali inayopelekea wanafunzi zaidi ya mia moja kusomea katika chumba kimoja ambapo ni hatari sana ukizingatia kumekuwa na ugonjwa wa covid 19 na wanafunzi wengine kukaa chini kwa ukosefu wa madawati shuleni hapo licha shule
READ MORE