WAKULIMA MKOANI DODOMA WASHAURIWA KULIMA MAZAO YANAYOHIMILI UKAME
- Kilimo
- June 2, 2021
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 2 Septemba 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Wilmar Tanzania Ndg Sachin Suman katika ofisi za Wizara ya Kilimo zilizopo katika eneo la Tazara Jijini Dar es salaam. Waziri Mkenda amekutana na
READ MORESerikali inatekeleza kwa vitendo Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP III: 2021/2022-2025/2026) na Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) kwa lengo la kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu wote. Wizara ya Kilimo na Wizara zingine zinatekeleza sera mbalimbali ambazo zitaiwezesha Serikali kufikia malengo iliyojiwekea
READ MORENa Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Bilinith Mahenge, Uongozi wa Wilaya za mkoa huo pamoja na wataalamu wote wa kilimo kwa kuitikia wito wa serikali wa kutekeleza matakwa ya serikali katika kukabiliana na upungufu wa mafuta ya kula. Waziri
READ MOREMkurugenzi wa bank ya kilimo TADB, Frank Mugeta amesema benki hiyo itaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania katika kuwazesha ukuaji wa sekta ya uvuvi kwa kuwawezesha makundi ya vijana na wakinamama katika swala la ufugaji wa samaki ambao wanatajwa kuwa chachu ya maendeleo na ajara kwa watu wengi Mugeta amesema kutokana na ongezekeo la binadamu
READ MORE