STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY Zanzibar 18.09.2021 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uongozi wa Jimbo la Kwahani kwa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vitendo. Rais Dk. Mwinyi alitoa pongezi hizo leo
READ MOREWajumbe wa Kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani wakiwa na kamati za siasa za Wilaya ya Kibiti na Rufiji wakipokea taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa kufua umeme katika Bwawa la Mwalimu Nyerere la Rufiji mkoani Pwani Walipotembelea kukagua thamani ya fedha za serikali zinaendana na kazi inayofanywa.
READ MORE