• Mwengine ajitosa uwenyekiti ACT.

    Mwengine ajitosa uwenyekiti ACT.0

    Mwanachama mwengine wa ACT wazalendo amechukua fomu ya Kugombea Uwenyekiti wa Taifa chama hicho  huku akiahidi kuongoza chama katika misingi bora katika umoja na mshikamano. Mwanachama huyo ambaye ni  Hamad Masoud Hamad aliyaeleza hayo mara badaa ya kuomba nafasi hiyo na kukabidhiwa fomu huko katika Ofisi ya chama hicho iliyopo Mtaa wa vuga Mjini Zanzibar

    READ MORE
  • JUMA DUNI HAJI Mgombea Nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha ACT-Wazalendo.

    JUMA DUNI HAJI Mgombea Nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha ACT-Wazalendo.0

    Mgombea Nafasi ya Uenyekiti wa Chama Alliance for Changeand Transparency –ACT-Wazalendo Taifa 2022 JINA : JUMA DUNI HAJITAREHE YA KUZALIWA : 26 NOVEMBA, 1950MAHALA ALIPOZALIWA : ZANZIBARURAIA : MTANZANIA, ZANZIBARNDOA : AMEOAANUANI : P.O.BOX 3637 ZANZIBAR,: Email; kibeni1950@gmail.com: +255 778 028182ANAPOISHI SASA : KISAUNI WILAYA MAGHARIB B’UNGUJA Elimu yake: University of Manchester- Masters in Human

    READ MORE
  • WAZIRI SIMBACHAWENE ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI.

    WAZIRI SIMBACHAWENE ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI.0

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao, katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Januari 5, 2022. Kulia ni

    READ MORE
Translate »