• WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI

    WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI0

    • Afya
    • November 24, 2022

    Na Moreen Rojas-Dodoma Mkurugenzi wa kampuni ya Cornwell Tanzania na Daktari wa Tiba Asili Daktari Elizabeth Lema amewahimiza watanzania kutumia dawa za asili na kuwashauri wananchi wanapotafuta tiba waanze kufikiri dawa za kitanzania. Dk.Elizabethi ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano maalumu na mwandishi wa J five One line blog katika ukumbi wa Jakaya Convention Jijini Dodoma

    READ MORE
  • TANZANIA MIONGONI MWA NCHI 5 UTEKELEZAJI WA KUKABILIANA NA DHARURA NA MAJANGA AFRIKA

    TANZANIA MIONGONI MWA NCHI 5 UTEKELEZAJI WA KUKABILIANA NA DHARURA NA MAJANGA AFRIKA0

    • Afya
    • November 15, 2022

    Na. Catherine Sungura, Wizara ya Afya-Dodoma Tanzania ni miongoni mwa nchi 5 kati ya 17 za awamu ya kwanza barani Afrika  zitakazotekeleza mradi wa kuwajengea uwezo wa sekta ya afya kujiandaa, kugundua na kukabiliana na dharura na majanga. Wataalamu wa sekta ya mbalimbali wanaoshirikiana na sekta ya afya katika  kukabiliana na dharura na majanga wameshiriki. 

    READ MORE
  • WAGONJWA WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI WAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA

    WAGONJWA WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI WAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA0

    • Afya
    • November 14, 2022

    Na. Wellu Mtaki, Dodoma Daktari Bingwa ya magonjwa ya wanawake katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dr. Enid Chiwanga Amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi  wanaofika kupata matibabu imepungua ikilinganishwa na miaka michache iliyopita. Ameyasema hayo leo November 14 2022 alipokuwa akifanya mahojiano maalum na Mwandishi wa hahari 

    READ MORE
  • WAJAWAZITO WAHAMASISHWA KUWAHI KLINIKI MAPEMA.

    WAJAWAZITO WAHAMASISHWA KUWAHI KLINIKI MAPEMA.0

    • Afya
    • November 10, 2022

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetoa wito kwa Wajawazito kuhudhuria mapema kliniki ili kutoa muda wa kutosha kwa  Wataalamu kufanya uchunguzi na ufuatiliaji ili kuepusha dharura za kufanyiwa upasuaji wakati wa kujifungua. Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel katika kikao cha tisa cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

    READ MORE
  • SERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA NUSU KAPUTI KUANZIA ZAHANATI HADI HOSPITALI YA TAIFA

    SERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA NUSU KAPUTI KUANZIA ZAHANATI HADI HOSPITALI YA TAIFA0

    • Afya
    • November 1, 2022

    Na Wizara ya Afya Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Wizara ya Afya kwa kushirikiana na vyama vya kitaaluma inatekeleza Mkakati wa kuwajengea uwezo watumishi wa vituo vya huduma za Afya kuanzia ngazi ya Zahanati hadi hospitali za Taifa katika eneo la utoaji ganzi/nusu kaputi na upasuaji kwa usalama kwa kuzingatia miongozo.Dkt.

    READ MORE
  • WATALAAMU WA AFYA WATAKIWA KUANZISHA KLINIKI ZA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA

    WATALAAMU WA AFYA WATAKIWA KUANZISHA KLINIKI ZA MAGONJWA YASIOAMBUKIZA0

    • Afya
    • October 29, 2022

    Na Wizara ya Afya Dodoma Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Ustawi wa jamii na lishe kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. James Kengia ametoa wito kwa wataalamu wa afya  kwenda kuanzisha kliniki za magonjwa yasiyoambukiza katika vituo vyao vya kutolea huduma. Dkt. Kengia amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya magonjwa yasiyoambukiza yaliyoratibiwa na

    READ MORE
Translate »