Na WAMJW-DSM Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea Dozi 499,590 za Pfizer ikiwa ni mwendelezo wa mkakati wa Serikali wa kuwakinga Wananchi dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19. Hafla fupi ya mapokezi imefanyika Novemba 23, 2021 na kuongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima katika uwanja wa ndege
READ MORETaasisi ya Afya Ifakara kwa kushirikiana na Maternity Foundation na Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania pamoja na Ole Kirk Foundation leo hii inazindua toleo la Kiswahili la “Safe Delivery App” – nyenzo ya mafunzo kwa njia ya simu na msaada kwa watoa huduma za afya ili kuhakikisha uzazi salama kwa akina mama na watoto wachanga
READ MORESTATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar Novemba 18, 2021 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia na watoto pamoja na Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya kuzitafutia ufumbuzi changamoto mbali
READ MOREPicha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu ameitaka Taasisi ya Ustawi wa Jamii kuanza kutoa huduma za Ushauri na Msaada wa Kisaikojia kwa njia ya mtandao ili kuweza kuwafikia watu
READ MORE