• WAZIRI AWESO AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI CHAMWINO

    WAZIRI AWESO AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI CHAMWINO0

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji katika Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ambapo ametoa pongezi nyingi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) na kwa kampuni ya PLASCO inayotengenenza matanki makubwa ya plastiki yaliyotumiwa katika mradi huo ikiwa ni kwa mara ya

    READ MORE
  • DUWASA YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUUNGANISHIWA MAJI

    DUWASA YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUUNGANISHIWA MAJI0

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma MKUU wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja kutoka  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Pendo Mkali amewataka wananchi wa Ntyuka kujitokeza kwa wingi kuomba kuunganishiwa maji kutokana na Mradi unaotekelezwa kwa fedha za Maendeleo ya Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 kukamilika. Amesema hayo  katika kikao cha

    READ MORE
  • MAJALIWA: RAIS SAMIA HATAKI MZAHA NA FEDHA ZA UMMA

    MAJALIWA: RAIS SAMIA HATAKI MZAHA NA FEDHA ZA UMMA0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iko makini na haitaki mzaha katika matumizi ya fedha za umma zinazoidhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Julai 15, 2022) wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Manyoni na Itigi

    READ MORE
Translate »