• WAZIRI MKUU AWASISITIZA WABUNGE WASHIRIKI MICHEZO

  WAZIRI MKUU AWASISITIZA WABUNGE WASHIRIKI MICHEZO0

  Na Barnabas Kisengi Dodoma Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Januari 28, 2023 ameshiriki Bunge Bonanza lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi na sekondari ya John Merlin ya jijini Dodoma ambapo ametumia fursa hiyo kuwasisitiza wabunge na wananchi wengine washiriki katika michezo ili kuipa miili yao nguvu na uwezo wa

  READ MORE
 • RC SENYAMULE AWATAKA WANAUME KUACHA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

  RC SENYAMULE AWATAKA WANAUME KUACHA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO0

  Na Moreen Rojas,Dodoma. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametoa wito kwa vijana wa kiume na wanaume pamoja na wale wote wanaotekeleza vitendo vya kikatili dhidi watoto na wanawake kuacha mara moja kwani kundi kubwa linaloathirika na vitendo hivyo ni watoto na wanawake. Senyamule ametoa wito huo January 28, 2023 katika hospitali ya Rufaa

  READ MORE
 • MARIAM DITOPILE AHAIDI MIFUKO 100 ZA SARUJI UJENZI WA BWENI SHULE YA VIZIWI KONGWA

  MARIAM DITOPILE AHAIDI MIFUKO 100 ZA SARUJI UJENZI WA BWENI SHULE YA VIZIWI KONGWA0

  Na Barnabas Kisengi Dodoma MBUNGE wa Viti Maalum Mariam Ditopile ameahidi mifuko ya saruji 100 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wanafunzi katika shule maalum Kongwa kitengo cha viziwi ili kuondoa changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu. Msaada huo umefuatia baada ya kusomwa kwa taarifa ya shule inayoonyesha uwepo wa wanafunzi wanaoshindwa kuhudhuria masomo

  READ MORE
 • WAZIRI JAFO AHIMIZA UPANDAJI MITI KUHIFADHI MAZINGIRA

  WAZIRI JAFO AHIMIZA UPANDAJI MITI KUHIFADHI MAZINGIRA0

  Na Barnabas Kisengi Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Dkt. Selemani Jafo amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili Tanzania imepiga hatua katika kusukuma mbele ajenda ya mazingira kwa upandaji miti na kutunza Mazingira hapa nchini. Dkt Jafo Amesema hayo January 27, 2023 wakati akizungumza baada ya kuongoza zoezi

  READ MORE
 • ”Watumieni vema wataalamu wa lugha ya Kiswahili” Waziri mkuu Mhe.Majaliwa.

  ”Watumieni vema wataalamu wa lugha ya Kiswahili” Waziri mkuu Mhe.Majaliwa.0

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza Wizara na Taasisi zote zinazohusika na maendeleo ya lugha ya kiswahili wawatumie vema wataalamu wa lugha hiyo waliopo nchini wakiwemo kutoka Vyuo Vikuu, Mabaraza ya Kiswahili na Vyama vya Kiswahili katika kukitangaza na kukibidhaisha kiswahili ili kitumike kama lugha ya ukombozi na kusaidia kuleta umajumui wa Afrika. Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametoa

  READ MORE
 • Rais Dkt.Mwinyi amekutana na madaktari kutoka Marekani na Ubelgiji .

  Rais Dkt.Mwinyi amekutana na madaktari kutoka Marekani na Ubelgiji .0

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na madaktari kutoka Marekani na Ubelgiji walioongozwa na Dkt. Bruno Jvan Herendaev waliofika ikulu kwa ajili ya kuisaidia Zanzibar katika sekta ya afya kuweka kitengo cha madaktari bingwa bila upasuaji katika hospitali mpya ya mkoa mjini magharibi Lumumba .

  READ MORE

Latest Posts

Top Authors

Translate »