Makamu wa Rais Dkt. Mpango akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuhitimisha maombi ya kuliombea Taifa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wa dini mara baada ya kuhitimishwa kwa dua na maombi ya kuliombea taifa kuelekea miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma leo Aprili 22, 2024.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »