- ELIMU, Habari, Kitaifa
- October 14, 2023
Wazee nchini wamehamasishwa kujiunga na Mpango wa Uwiano kati ya Elimu ya Watu Wazima na Jamii (Mukeja) kwa kuwa elimu hiyo ina mchango mkubwa kwenye kuboresha maisha yao. Wito huo umetolewa na mmoja wa wanafunzi chini ya mpango huo Bi. Masha Sogoma (65) wakati wa Maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima yanayofanyika Kitaifa
READ MORE- READ MORE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Balozi Hassan Simba Yahya.
READ MORE