- Habari, Kitaifa
- April 18, 2024
WAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amewaagiza Wakuu wote wa Mikoa wawahamasishe wananchi na wadau mbalimbali kutoa maoni ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuisaidia timu ya kukusanya maoni kupata maoni yatakayoakisi mahitaji halisi ya nchi. Pia amewaagiza Wakuu wote wa Mikoa washiriki kwenye mahojiano maalumu na kutoa maoni kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa
READ MORE- Habari, Magazeti
- April 17, 2024
Habari kubwa kwenye magazeti ya leo tarehe 17/4/2024 kurasa za mbele na nyuma.
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia ameridhia kutoa tani 189 za mbegu za mpunga, mahindi na alizeti ili zisambazwe kwa wakulima wa wilaya ya Kilombero. “Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatoa pole kwa wananchi wote walioathirika na mafuriko yaliyotokana na mvua zinazonyesha nchini, lakini pia ametoa mbegu hizo ili kuhakikisha wale waliopata
READ MORE