RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wazazi na walezi washirikiane na walimu katika kuwalinda watoto wa kike na wa kiume ili waweze kutimiza ndoto zao kielimu. Pia, Waziri Mkuu amewataka watoto hao wasikubali kudanganywa na watu wasiopenda maendeleo yao na badala yake wasome kwa bidii na wahakikishe malengo yao kielimu yanatimia. Ameyasema hayo leo
READ MORExxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx NA HERI SHAABAN (ILALA)Herishaban@gmail.com WILAYA YA ILALA inatarajia kupanda miti milioni 1.5 kwa ajili ya kampeni ya utunzaji Mazingira na kuhifadhi vyanzo vya maji . Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija katika uzinduzi wa siku ya MAZINGIRA Duniani ambapo Wilaya ya Ilala imezindua kwa kufanya usafi na kupanda miti
READ MORENa Barnabas Kisengi, Dodoma Chama vha wakandarasi Tanzania wanatarajia kufanya kongamano la kumpongeza RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kupokea tunzo ya usimamizi na utekelezaja wa miundombinu bora hapa nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dodoma Mwenyekiti wa chama cha Wakandarasi nchini THOBIAS KYANDO amesema watakuwa na kongamano la kujadili mambo mbalimbali
READ MORE,
READ MORE