• DC WA MPWAPWA ALIPONGEZA JESHI LA POLISI WILAYANI HUMO

    DC WA MPWAPWA ALIPONGEZA JESHI LA POLISI WILAYANI HUMO0

    Na Barnabas Kisengi, Mpwapwa  Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma Mwalimu Josephat Maganga amelipongeza Jeshi la Polisi wilayani Mpwapwa kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na utulivu wilayani mpwapwa ambapo hivi karibuni kulitokea kikundi kilichokuwa kinawashambulia baadhi ya viongozi wa Kata na vijiji wilayani hapo. Pongezi hizo amezitoa katika kikao cha baraza la madiwani

    READ MORE
  • WIZARA YA AFYA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU

    WIZARA YA AFYA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU0

    Na Barnabas Kisengi, Dodoma  WIZARA ya Afya,Maendeleo ya Jamaii Jinsia Wazee na Watoto imetekeleza maagizo ya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa  aliyoyatoa Mkoani Katavi Agosti 27 Mwaka huu alipotembelea Hospitali ya Mkoa huo. Akizungumza na Waandishi wa Habari,hii leo Jijini Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Profesa Abel Makubi kuhusiana na maagizo hayo amesema kuwa miongoni mwa

    READ MORE
  • Silaa, Polepole, Gwajima wahojiwa na kamati maadili ya wabunge CCM

    Silaa, Polepole, Gwajima wahojiwa na kamati maadili ya wabunge CCM0

    Na Barnabas Kisengi ,Dodoma  KAMATI ya maadili ya  Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) imekamilisha zoezi la kuwahoji  Wabunge wa chama hicho akiwemo Askofu Josephat Gwajima Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar-es-salaam, Mbunge wa Jimbo la Ukonga Dar-es-salam Jerry Silaa na aliyekuwa katibu wa NEC Itifaki na uenezi Humphrey Polepole ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa. Akizungumza na

    READ MORE
Translate »