• VYETI VYA CHANJO YA CORONA KUTOLEWA KIELEKTRONIKI

    VYETI VYA CHANJO YA CORONA KUTOLEWA KIELEKTRONIKI0

    • Afya
    • September 1, 2021

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma  WIZARA ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema inaendelea kuboresha suala la upatikanaji wa vyeti vya chnjo ya UVIKO-19 kwa njia ya TEHAMA Kwa wananchi ambao wanauhitaji wa vyeti vya kielektroniki ambapo hadi sasa imewapatia mafunzo watoa huduma zaidi ya 1994 kutoka kwenye vituo vinavyotoa chanjo. Akizungumza na waandishi wa habari Leo jijini

    READ MORE
  • DKT. JINGU ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE KINGOLWIRA

    DKT. JINGU ATEMBELEA GEREZA KUU LA WANAWAKE KINGOLWIRA0

    Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WAMJW  Na Mwandishi Wetu Morogoro Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu ametembelea Gereza Kuu la Wanawake la Mkono wa Mara, Kingolwira Mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya ufuatiliaji wa ustawi na wanawake, Watoto na wazee wanaotumikia adhabu ya kifungo katika

    READ MORE
  • YAANGA YAACHANA NA ANTONIO NUGAZ

    YAANGA YAACHANA NA ANTONIO NUGAZ0

    Uongozi wa Klabu ya Yanga leo umetangaza kumalizana na Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu @AntonioNugaz ambapo taarifa waliyoitoa wamesema Nugaz amemaliza mkataba wake na Club hiyo. Taarifa ya Yanga imesema “Uongozi wa Klabu ya Yanga unatoa shukrani za dhati kwa aliyekua Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu kama Antonio Nugaz kwa utumishi wake ndani

    READ MORE
Translate »