• WANANCHI WABAINIKA KUCHIMBA MADINI KATIKATI YA MTU RUVU

    WANANCHI WABAINIKA KUCHIMBA MADINI KATIKATI YA MTU RUVU0

    NA MWANDISHI WETU, MOROGORO BONDE la Wami Ruvu limeeleza kusikitisha na baadhi ya wananchi katika kijiji cha Kibangile Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kuendelea kufanya shughuli za kibinadamu katuka mto Ruvu ikiwemo uhimbaji madini pembezoni mwa mtu huo Akielezea usikishwa kwake na hali hiyo mhandisi rasilimali maji bonde la wami ruvu  john kasambili  alisema kitendo

    READ MORE
  • RC SHIGELA AWATAKA WANCHI KUTUNZA MIRADI YA ISLAMIC FOUNDATION

    RC SHIGELA AWATAKA WANCHI KUTUNZA MIRADI YA ISLAMIC FOUNDATION0

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela amewataka wananchi Mkoani humo kutunza na kusimamia vizuri miradi yote inayotekelezwa na Taasisi ya The Islamic Foundation ili kujenga ustawi imara wa jamii ya watanzania. Shigela alitoa wito huo jana alipotembelea miradi mbalimbali inayotoa huduma za kijamii katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na kuridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na

    READ MORE
  • ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. JINGU GEREZA LA SEGEREA DAR ES SALAAM

    ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. JINGU GEREZA LA SEGEREA DAR ES SALAAM0

    Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WAMJW Na Mwandishi Maalum Serikali imewahakikishia wafungwa na mahabusu nchini kuendelea kutatua changamoto zinazowakabili hususani zinazohusu masuala ya Ustawi wa Jamii wakiwa magerezani kwa kuzingatia taratibu zote kama ilivyo kwa makundi mengine. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar Es Salaam na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo

    READ MORE
Translate »