RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na Barnabas Kisengi-Dodoma WIZARA ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema inaendelea kuboresha suala la upatikanaji wa vyeti vya chnjo ya UVIKO-19 kwa njia ya TEHAMA Kwa wananchi ambao wanauhitaji wa vyeti vya kielektroniki ambapo hadi sasa imewapatia mafunzo watoa huduma zaidi ya 1994 kutoka kwenye vituo vinavyotoa chanjo. Akizungumza na waandishi wa habari Leo jijini
READ MOREPicha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WAMJW Na Mwandishi Wetu Morogoro Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Dkt. John Jingu ametembelea Gereza Kuu la Wanawake la Mkono wa Mara, Kingolwira Mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya ufuatiliaji wa ustawi na wanawake, Watoto na wazee wanaotumikia adhabu ya kifungo katika
READ MOREUongozi wa Klabu ya Yanga leo umetangaza kumalizana na Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu @AntonioNugaz ambapo taarifa waliyoitoa wamesema Nugaz amemaliza mkataba wake na Club hiyo. Taarifa ya Yanga imesema “Uongozi wa Klabu ya Yanga unatoa shukrani za dhati kwa aliyekua Mfanyakazi wake Juma Khatib Nugaz maarufu kama Antonio Nugaz kwa utumishi wake ndani
READ MORESpika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai ameomba radhi waumini dini ya kikristo na Watanzania wote waliokwazika na kauli yake aliyoitoa leo asubuhi akieleza mstari wa Biblia. Akizungumza bungeni leo Agosti 31, Spika Ndugai amesema ameshatembelea Uyahudi na kwamba anajua maeneo aliyozaliwa Yesu. “Uyahudi nimekwenda mara nne, nimefika Kapernaumu kule kwenye kijiji cha Yesu, Galilaya
READ MOREPICHA NO. 223/226:Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwakumbusha wataalamu wa Tiba asili kuungana pamoja ili kutoa huduma bora kwa jamii wakati akihutubia katika Maadhimisho ya 19 ya siku ya tiba asili Barani Afrika katika Ukumbi wa Rahaleo. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amelitaka
READ MORE