• MAMA SAMIA SULUHU KURITHI NYADHIFA YA URAIS

    MAMA SAMIA SULUHU KURITHI NYADHIFA YA URAIS0

    Mama Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa Makamu wa Rais toka mwaka 2015 sasa atakuwa mrithi wa rais John Magufuli ambaye amefariki Jumatano Machi 17. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwa Rais kufariki akiwa madarakani, hivyo hakuna uzoefu wa nini kinafanyika katika hali kama hii. Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5)

    READ MORE
  • WASIFU WA HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

    WASIFU WA HAYATI RAIS JOHN POMBE MAGUFULI0

    John Pombe Joseph Magufuli (29 Oktoba 1959 – 17 Machi 2021) alikuwa rais wa tano wa Tanzania, akitokea katika chama cha CCM. Aliongoza kwa miaka mitano na nusu hadi kifo chake. Aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Biharamulo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania na tangu mwaka 2010 waziri wa ujenzi.[1] Tarehe 12 Julai 2015 alichaguliwa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi akiwa na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassani. Tarehe 29 Oktoba 2015 Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilimtangaza kuwa rais wa awamu ya tano

    READ MORE
  • KIFO CHA RAIS MAGUFULI NI SAWA NA KUKATIKA KWA DARAJA LA KUVUSHA TOKA UMASKINI

    KIFO CHA RAIS MAGUFULI NI SAWA NA KUKATIKA KWA DARAJA LA KUVUSHA TOKA UMASKINI0

    Na Mwandishi wetu Dodoma VIONGOZI wa madhehebu ya dini mkoani Dodoma wamesema kuwa kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kilichotoke Jumanne tarehe 17/03/2021 ni sawa daraja lililokuwa linatumiwa na watanzania kwa ajili ya kujipatia maendeleo na sasa limekatika katikati ya mto na kuwarudisha nyuma watanzania kwenye umasikini. Askofu Mkuu

    READ MORE
  • SPIKA AONGOZA WAKAZI WA DODOMA KUOMBOLEZA KIFO CHA RAIS MAGUFULI

    SPIKA AONGOZA WAKAZI WA DODOMA KUOMBOLEZA KIFO CHA RAIS MAGUFULI0

    Na Saleh Ramadhani–Dodoma Spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema wao kama mhimili  wa Bunge wamepokea kwa masikitiko makubwa kuhusiana na kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt.John  Pombe Magufuli ambapo amesema ni pigo kubwa kwa Watanzania kwani alikuwa shupavu  na mpambanaji. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Machi 18,2021

    READ MORE
  • Imeelezwa kuwa Wanawake zaidi ya asilimia 50% wanategemea ardhi kwaajili ya kipato chao.

    Imeelezwa kuwa Wanawake zaidi ya asilimia 50% wanategemea ardhi kwaajili ya kipato chao.0

    Na.Saleh Ramadhani. DODOMA. Kamishna ustawi wa jamii Dokta Naftali Ng’ondi amebainisha kuwa wanawake zaidi ya asilimia 50% wanategemea ardhi kwajili ya kipato chao.kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano uliokuwa ukifanyika kwa njia ya mtandao ambao umehusisha nchi wanachama wa UN zaidi ya 140. Dkt Naftali ameeleza kuwa uelewa na muamko wa wakina mama

    READ MORE
  • RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA RAIS MAGUFULI

    RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA RAIS MAGUFULI0

    STATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar                                                           18.03.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa Mama Janeth Magufuli, familia pamoja na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na wananchi wote wa Tanzania kufuatia kifo

    READ MORE
Translate »