RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
JESHI LA POLISI MKOANI KIGOMA KWA KUSHIRIKIANA NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAPORI(TAWA)MKOANI WAMEFANIKIWA KUKAMATA BUNDUKI 268 MIONGONI MWAKE ZIKIWEMO SILAHA ZA KIVITA ZINAZODAIWA KUTUMIKA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI YA KIHALIFU MKOANI KIGOMA KWA KIPINDI CHA MIAKA KUMI IKIWEMO UTEKAJI WA MAGARI. ILI KUPATA HABARI KWA HARAKA, SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA JFIVE TV ONLINE KWA KUBONYEZA
READ MOREWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewaagiza Wenyeviti wa Mabaraza ya ardhi na Nyumba ya wilaya kutumia lugha ya Kiswahili katika kuandika hukumu.Lukuvi alitoa maagizo hayo jijini Dodoma alipozungumza na Wenyeviti pamoja na Wasajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa nchi nzima kupitia Video (Video conference).‘’Nasisitiza wenyeviti wa
READ MOREMsomaji, wa jfive karibu uyatazame magazeti ya leo ya tarehe 08/02/2021.
READ MOREIdara ya uhamiaji mkoa wa Kigoma imewakamata raia wa kigeni 52 kutoka nchi ya Burundi na jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo walioingia nchini bila vibali pamoja na kuwakamata watanzania 3 waliokuwa wakijihusisha na kuwatumikisha baadhi ya raia hao. Miongoni mwa waliokamatwa wapo wakimbizi 12 waliotoroka katika kambi ya Nyarugusu iliyoko wilaya ya Kasulu. Akizungumzia hatua
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia na kuzungumza nae.
READ MOREWaziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais muungano na mazingira Mh. Ummy Mwalimu anakutana na wachimbaji wa mchanga na wamiliki wa maroli kesho tarehe 08/02/2021 kujadili mwongozo wa uchimbaji wa mchanga kwenye mito na mabonde.
READ MORE