• Wafanyabiashara na wawekezaji kuzungumza na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam desemba 10,2020.0

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Aboubakar Kunenge anatarajiwa kukutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa jiji la Dar es salaam Desemba 10,2020 kwenye ukumbi wa mikutano wa mwalimu nyerere posta jijini Dar es salaam. Rc Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuwek mazingira bora ya uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze kunufaika

    READ MORE
  • Ewura yatangaza kushuka kwa Bei ya Mafuta ya Petroli na Dizeli.0

    Mamlaka ya Udhibiti huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta zinazoanza kutumika leo Jumatano Desemba 2, 2020. Kwa mujibu wa Ewura, bei ya lita moja ya mafuta ya petroli yaliyopokelewa kupitia bandari ya Dar es Salaam imepungua kwa Sh37.36, dizeli imepungua lita moja kwa Sh46.81 huku mafuta ya taa yakipungua

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU AMALIZA MGOGORO WA ARDHI KILOSA0

    Ofisi ya Waziri mkuu 30 Novemba, 2020 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ardhi katika shamba la Chanzuru lenye ukubwa wa ekari 1,598 lililopo wilayani Kilosa, Morogoro kati ya Laizer Maumbi na Ameir Nahad kwa kuagiza likabidhiwe kwa Laizer ili aweze kuliendeleza kwa kulima mkonge. Hata hivyo, Waziri Mkuu

    READ MORE
  • MAMA WA KAMBO JERA KWA KUMSHAMBULIA MTOTO WA MUME WAKE0

    Mahakama ya wilaya ya Kigoma imemuhukumu Agness Damian( 40)mkazi wa Mji mwema manispaa ya Kigoma Ujiji kwenda jela miaka miwili na kulipa fidia ya shilingi milioni tano kwa kosa la kumshambulia na kumkatakata kwa wembe mtoto wa mme wake mwenye umri wa miaka 15. Kesi namba 95 ya mwaka 2020 dhidi ya Agness Damian inadaiwa

    READ MORE
  • KMC FC yajipanga katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji Disemba Nne0

    Imeandaliwa na Christina Mwagala Afisa habari wa KMC Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC inaendelea kujifua kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Timu ya Dodoma Jiji utakaopigwa Disemba Nne mwaka huu katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, KMC FC ambao ni wenyeji, wanafanya maandalizi  katika uwanja wa

    READ MORE
  • Rashid Charles Mberesero:Mtanzania aliyefungwa kwa ugaidi Kenya ajinyonga gerezani.0

    Mtanzania aliyehukumiwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi lililotokea mwaka 2015 katika chuo kikuu kimoja nchini Kenya na kusababisha watu 148 kufariki , amejiua mwenyewe akiwa gerezani , vyombo vya habari vya Kenya vimeripoti. Washambuliaji wanne waliuawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kenya katika chuo kikuu cha Garissa ,lakini Rashid Charles Mberesero, na wenzake

    READ MORE
Translate »