• TIGO WAFANYA MAKUBWA KWA WATEJA WAO, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

    TIGO WAFANYA MAKUBWA KWA WATEJA WAO, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA0

    Na Mwandishi Wetu. Ikiwa ni Wiki ya Huduma kwa Wateja mtandao namba moja unaoongoza kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo, haukubaki nyuma katika kuhakikisha unatoa kilicho bora kwa wateja wake. Kama zinavyoelezea habari Picha hapa Chini . Viongozi wa Vitengo mbalimbali Tigo , wajibu na kutatua maswali ya Wateja wa Tigo katika

    READ MORE
  • TIGO WAVUNJA REKODI, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

    TIGO WAVUNJA REKODI, WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA0

     Na Mwandishi Wetu. Tarehe 4 Oktoba 2021. Kampuni ya kidigitali inayoongoza Tanzania, Tigo iliadhimisha wiki ya huduma kwa wateja mwaka huu kwa shamra shamra za kipekee. Wiki ya huduma kwa wateja ilianza kwa matembezi mafupi katika mitaa ya mji wa Dodoma, kisha baadae kuelekea katika uzinduzi rasmi wa wiki ya CSW, ambayo ilihitimishwa na chakula

    READ MORE
  • TIGO NA INFINIX WAJA NA SIMU MPYA ”  Infinix ZERO X PRO”

    TIGO NA INFINIX WAJA NA SIMU MPYA ” Infinix ZERO X PRO”0

    Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania imeshirikiana na Infinix Tanzania kuzindua simu janja toleo jipya yenye kiwango cha juu ya 108MP na 60x kamera, ijulikanayo kama Infinix ZERO X PRO, ambayo itauzwa kuanzia 800,000 Tsh. Akizungumza wakati wa kutangaza simu hiyo Mkuu wa Kitengo cha maduka na Bidhaa za

    READ MORE
Translate »