Rais Samia ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania.

Rais Samia ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania. Bw. Umande anachukua nafasi ya Mhandisi Steven D. Mlote ambaye amemaliza muda wake. Uteuzi huo umeanza  tarehe 08 Oktoba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania.

Bw. Umande anachukua nafasi ya Mhandisi Steven D. Mlote ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huo umeanza  tarehe 08 Oktoba, 2021.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »